Jakaya Kikwete

@jmkikwete

The President of The United Republic of Tanzania (Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania)

Photos and Videos by @jmkikwete

 • Timeline
 • Gallery

Map of the DART bus rapid transit project in Dar-es-Salaam, showing the six phases. The project will alleviate the chronic congestion faced by commuters is the Dar es Salaam and will start operating this year (2012). The system will use guided buses (Bus Rapid Transit) on segregated bus lanes, and dala-dalas will no longer be allowed to operate on the routes, but will operate as feeder services to the DART arterial routes.

 • 570 days ago via site
 • 699

Nyumbani. The Great Rufiji river winding its way through the heart of Selous Game Reserve.

 • 699 days ago via site
 • 102

Na Ndugu Obasanjo, Rais Kagame na Ndugu Melesi Zenawi. Mdahalo wa Kilimo, Tasisi ya GroAfrica, Addis Ababa.

 • 708 days ago via site
 • 235

Mazungumzo na Rais wa Malawi, Bibi Joyce Banda, wilayani Thylo, Blantyre jana (Aprili 23, 2012) asubuhi.

 • 723 days ago via site
 • 206

Na Msaidizi Mwandamizi wa Rais (Diplomasia), Balozi Liberata Mulamula na Waziri wa Kazi na Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi na Ushirika -- Zanzibar, Mh. Haroun Ali Suleiman (katikati) katika ziara ya kikazi Jijini Sao Paulo, Brazil.

 • 731 days ago via site
 • 176

Kapteni Asery Msangi. (Mkoa wa Njombe)

 • 757 days ago via site
 • 202

Kapteni Paschal Kulwa Mabiti. (Mkoa wa Simiyu)

 • 757 days ago via site
 • 195

Mh. Dkt. Rajab Mtumwa Rutengwe. (Mkoa wa Katavi)

 • 757 days ago via site
 • 168

Kiapo kwa wakuu wapya wa mikoa (RCs), Mh. Magalula Saidi Magalula. (Mkoa wa Geita)

 • 757 days ago via site
 • 217

Mkutano na viongozi wa Chama Cha Madaktari Tanzania, Ikulu Dar es Salaam, Machi 9, 2012.

 • 769 days ago via site
 • 311

Ziara ya kikazi Mkoa wa Kilimanjaro, Machi 2012.

 • 773 days ago via site
 • 359

Receiving the "Hungry No More Petition" signed by more than 16,000 Africans at the State House in Dar es Salaam on 1st March, 2012.

 • 777 days ago via site
 • 238

"The Great Transformation: Shaping New Models." Attending the World Economic Forum Annual Meeting, #Davos-Klosters, Switzerland 25th to 29th January 2012.

 • 812 days ago via site
 • 146

Mradi: Ujenzi wa Daraja la Kigamboni.
Gharama:Tshs. Bilioni 214.6+ (60%, 40%; NSSF, Serikali)
Muda: Miezi 36

 • 828 days ago via site
 • 557

Na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Yohana Sefue na Katibu Mkuu Kiongozi Mstaafu, Phillemon Luhanjo.

 • 829 days ago via site
 • 469

Pumzikeni pema ndugu zetu Balozi Athumani Mhina (Mwenyekiti wa Taifa wa Jumuiya ya Wazazi ya CCM) na Aziz Sheween (Afisa Mambo ya Nje Mkuu Daraja la I katika Ubalozi wetu wa Tanzania nchini Saudi Arabia).

 • 835 days ago via site
 • 355

#myreadinglist Jeffrey Sachs' "The End of Poverty: Economic Possibilities for Our Time"

 • 836 days ago via site
 • 220

Kuukaribisha mwaka mpya wa 2012 kijijini Msoga.

 • 836 days ago via site
 • 341

Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Yohana Sefue

 • 836 days ago via site
 • 248

Uongozi wa Mkoa wa Dar es Salaam tayari umeandaa eneo la ekari 200 lenye viwanja 2,800 katika wilaya ya Kinondoni.

 • 846 days ago via site
 • 273

1 2 Next