Polisi wampiga risasi na kumuua mvulana kwa madai ya kuwa mwanamgambo wa Al Shabaab,mtaa wa Floringi, Mombasa.