Haki Ngowi

@Hakingowi

Official Twitter Page Of Haki Ngowi

Taarifa Rasmi Kwa Umma Kutoka Wizara ya Nishati na Madini:Wizara ya Nishati na Madini kupitia Kitengo cha Uthamini wa Madini ya Almasi na Vito (TANSORT) inatarajia kufanya semina ya siku mbili ambayo itahusisha Makamishna Wasaidizi wa Madini wa Kanda na Afisa Madini Wakazi yenye lengo la kujadili utendaji kazi, mafanikio pamoja na maboresho ya tasnia ya vito na almasi nchini.

Kwa habari zaidi nenda www.hakingowi.com

Views 55

75 days ago

0 Comments

Realtime comments disabled