54
75 days ago
Picha:Mbunge wa jimbo la Mpanda Kati (Chadema) Said Arfi Alipojisajili katika orodha ya wajumbe wanaoshiriki Bunge la Rasimu ya Katiba mpya mjini Dodoma huku Mbunge wa Bunge Maalum -Chadema Chiku Abwao Alipokanusha kujisajili katika orodha ya wajumbe wanaoshiriki vikao vya kujadili rasimu ya Katiba mjini Dodoma
Habari zaidi nenda www.hakingowi.com

0 Comments
Realtime comments disabled