30
715 days ago
Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Monduli(CCM)Mh.Edward Lowassa aongoza Harambee ya Ujenzi wa Kanisa la KKKT Usharika wa Babati Mkoani Manyara Nakusema wakati umefika sasa hapa nchini elimu ya sekondari iwe ni elimu inayotolewa bure na kumwondolea mwananchi mzigo
---
Kwa habari zaidi nenda www.hakingowi.com

0 Comments
Realtime comments disabled