Haki Ngowi

@Hakingowi

Official Twitter Page Of Haki Ngowi

KUTOKA KIKAO CHA HALMASHAURI KUU YA TA CCM DODOMA:kikao cha NEC kimepitisha kwa kishindo jina la Rais Jakaya Mrisho Kikwete kuwa mgombea wa nafasi ya Mwenyekiti CCM Taifa,Cha Pendekeza Jina la Ndugu.Phillip Mangula kuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara na Rais wa Zanzibar Dk Ali Shein kuwa mgombea wa nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar. 
---
Kwa habari zaidi nenda www.hakingowi.com

Views 38

723 days ago

0 Comments

Realtime comments disabled