Msimamizi mkuu wa huduma kwa wateja wa Tigo katika maonyesho ya Sabasaba, Boaz Ikupilika (kulia) akimkabidhi zawadi ya simu ya mkononi mmoja wa wateja wa Tigo waliomtebelea banda hilo Elizabeth Damson akiwa amevaa eleni na mkufu na alivyovibuni mwenyewe kwa kutumia nembo ya Tigo.